Picha ya Pamoja.
Mkurugenzi wa Gdly Inc toka Canada, Aj Kim akizungumza mara baada ya kusaini makubaliano ya miaka mitatu kwaajili ya kuboresha maendeleo ya kiuchumi ya kijinsia na ujasiriamali nchini Tanzania.
Katibu wa DIWO, Joyce Fadhili akizungumza akizungumza mara baada ya kusaini makubaliano ya miaka mitatu kwaajili ya kuboresha maendeleo ya kiuchumi ya kijinsia na ujasiriamali nchini Tanzania.
Mkurugenzi Diwo Tanzania, Shasmsa Danga na Katibu wa DIWO, Joyce Fadhili wakimsikiliza Mkurugenzi wa Gdly Inc toka Canada, Aj Kim mara baada ya kusaini makubaliano ya miaka mitatu kwaajili ya kuboresha maendeleo ya kiuchumi ya kijinsia na ujasiriamali nchini Tanzania.
Matukio mbalimbali wakati wa kusaini makubaliano ya miaka mitatu na DIWO.
TAASISI ya Dira Women Organization (DIWO) ya nchini Tanzania imetia saini ya ushirikiano wa miaka mitatu na Taasisi ya Gdly Inc iliyopo nchini Canada kwaajili ya kuboresha maendeleo ya kiuchumi ya kijinsia na ujasiriamali nchini Tanzania @Gdlyinc @ajungkim #Canadia #Tanzania
Makubaliano hayo yalifanyika katika ofisi za DIWO zilizopo Mwakidila jijini Tanga.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...