Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar Es Salaam SACP.Dr.Lazaro Benedict Mambosasa ameongoza maofisa,wakaguzi na Askari wa vyeo mbali mbali 113 katika zoezi la kufanya usafi na kuchangia damu katika Hospitali ya Mbagala Rangi Tatu iliyopo Wilaya ya Temeke katika Mkoa wa Dar es salaam .


SACP Dr. Mambosasa amesema wamefanya hayo kwanza ili kutekeleza maelekezo ya Mkuu wa Jeshi la Polisi IJP CAMILLUS MONGOSO WAMBURA kufanya matendo mema katika jamii ili kuliweka Jeshi karibu na wananchi. "Tumefika hapa hospitali kufanya usafi pamoja kuchangia damu ambayo itasaidia wagonjwa ambao ni wahitaji na wanakikosa huduma hiyo wanaweza kupoteza maisha" alisema SACP Dr. Mambosasa. SACP Dr.Mambosasa amesema ni jukumu la polisi kulinda maisha na mali zao,hivyo tumekuja kutoa damu ili kuokoa maisha ya wagonjwa kupitia uchangiaji damu. Ametaja makundi maalumu yanayohitaji huduma hiyo ni pamoja na akina Mama wajawazito,wananchi wanaopata ajali pamoja na wagonjwa wa magonjwa mengine. Kwa upande wake Mganga Mfawidhi ya hospitali ya Mbagala Dr. Ally Makori Mussa amemshukuru Mkuu wa cha Taaluma ya Polisi kwa kuona umuhimu wa kuchagua Hospitali ya Mbagala kwa kuwa wana mahitaji makubwa ya damu.

Dr Makori amesema hospitali hiyo inahudumia wagonjwa kati ya 1000 hadi 1400 kila siku,hospitali hiyo pia inahudumia wajazito wafikia 50 hadi 70 na wa mama wanaojifungua wanakadiriwa kufikia 40 kila siku hivyo kuchangua damu leo itasaidia katikaMkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar Es Salaam SACP.Dr.Lazaro Benedict Mambosasa ameongoza maofisa,wakaguzi na Askari wa vyeo mbali mbali 113 katika zoezi la kufanya usafi na kuchangia damu katika Hospitali ya Mbagala Rangi Tatu iliyopo Wilaya ya Temeke katika Mkoa wa Dar es salaam . SACP Dr. Mambosasa amesema wamefanya hayo kwanza ili kutekeleza maelekezo ya Mkuu wa Jeshi la Polisi IJP CAMILLUS MONGOSO WAMBURA kufanya matendo mema katika jamii ili kuliweka Jeshi karibu na wananchi. "Tumefika hapa hospitali kufanya usafi pamoja kuchangia damu ambayo itasaidia wagonjwa ambao ni wahitaji na wanakikosa huduma hiyo wanaweza kupoteza maisha" alisema SACP Dr. Mambosasa.

SACP Dr.Mambosasa amesema ni jukumu la polisi kulinda maisha na mali zao,hivyo tumekuja kutoa damu ili kuokoa maisha ya wagonjwa kupitia uchangiaji damu. Ametaja makundi maalumu yanayohitaji huduma hiyo ni pamoja na akina Mama wajawazito,wananchi wanaopata ajali pamoja na wagonjwa wa magonjwa mengine. Kwa upande wake Mganga Mfawidhi ya hospitali ya Mbagala Dr. Ally Makori Mussa amemshukuru Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi kwa kuona umuhimu wa kuchagua Hospitali ya Mbagala kwa kuwa wana mahitaji makubwa ya damu.

Dr Makori amesema hospitali hiyo inahudumia wagonjwa kati ya 1000 hadi 1400 kila siku,hospitali hiyo pia inahudumia wajazito wafikia 50 hadi 70 na wa mama wanaojifungua wanakadiriwa kufikia 40 kila siku hivyo kuchangua damu leo itasaidia katika kuhudumia jamii ya watanzania kuhudumia jamii ya watanzania


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...