MBUNGE viti Maalum Mkoa wa Dodoma anayetokana na Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Mariam Ditopile amewawezesha wanafunzi wenye Mahitaji Maalumu vifaa vya shule kwa wanafuzi 1000 vyenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 30.

Akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi vifaa hivyo kwa wilaya zote saba za Dodoma Ditopile amesema ikiwa ni kusherehekea kumbukizi ya Kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan 

Aidha Amewaomba Wadau Mbalimbali Mkoani humo na Nchini Kutoa Kipaumbele Zaidi Katika Sekta ya Elimu kwa kutoa misaada hasa wa Watoto Yatima na Wenye Mazingira Magumu Yatayo sababisha Kukatisha Masomo na kupoteza Ndoto Zao Za Elimu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...