Meneja
wa Benki ya Tanzania Commercial Bank (TCB) Tawi la Mbagala Edward
Mwoleka, (watatukulia), akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 150 ya
Cement, kwa Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Kilamba iliyopo mbagala
Charambe iliyotolewa na TCB kwaajili yakufanya maboresho ya madarasa ya
shule hiyo Hafla yakukabidhi msaada huo imefanyika hivi karibuni. kutoka
kulia ni Meneja wa Mawasiliano na Uhusiano wa Tanzania Commercial Bank
(TCB) Gloria Mutta, Diwani wa Kata ya Charambe Twahil Shabani, pamoja
na Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Temeke Betha Minga. Meneja
wa Benki ya Tanzania Commercial Bank (TCB) Tawi la Mbagala Edward
Mwoleka, (watatukulia), akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 150 ya
Cement, kwa Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Temeke Betha Minga, iliyotolewa na
TCB kwaajili yakufanyia maboresho ya madarasa ya shule ya msingi Kilamba
iliyopo Charambe. Hafla yakukabidhi msaada huo imefanyika hivi
karibuni kutoka kulia ni Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Leah Masaba,
Diwani wa Kata ya Charambe Twahil Shabani, pamoja na mjumbe wa shule.
Meneja
wa Mawasiliano na Uhusiano wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Gloria
Mutta, (watatukulia), akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 150 ya
Cement, kwa Mtendaji kata ya Charambe Theodora Malata iliyotolewa na
TCB kwaajili yakufanyia maboresho ya madarasa ya shule ya msingi Kilamba
iliyopo Charambe. Hafla yakukabidhi msaada huo imefanyika hivi
karibuni wengine pichani Meneja wa Benki ya Tanzania Commercial Bank
(TCB) Tawi la Mbagala Edward Mwoleka, pamoja na uongozi kutoka kamati
ya shule.
Mwalimu
Mkuu wa shule ya msingi Kilamba Leah Masaba, akizungumza wakati wa
hafla yakupokea msaada wa mifuko 150 ya Cement iliyotolewa na TCB
kwaajili yakufanyia maboresho ya madarasa ya shule hiyo
Mtendaji
kaya ya Charambe Theodora Malata, akitoa shukrani kwa niaba ya shule ya
Msingi Kilamba kwa uongozi wa TCB baada ya kupokea msaada wa mifuko
150 ya Cement iliyotolewa na TCB kwaajili yakufanyia maboresho ya
madarasa ya shule hiyo iliyopo Charambe jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...