Meneja wa Benki ya Tanzania Commercial Bank (TCB) Tawi la Mbagala Edward Mwoleka (kushoto), akikakabidhi msaada wa mifuko 100 ya Cement kwa Diwani wa kata ya Kiburugwa Mh. Fatuma Michael iliyotolewa na Benki ya Tanzania Commercial bank kwaajili ya kuendeleza ujenzi wa kituo kipya cha polisi cha kata hiyo ikiwa ni utamaduni wa Benki hiyo kujitolea katika kusaidia jamii. hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam wengine pichani ni Meneja wa Mawasiliano na Uhusiano wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Gloria Mutta, Afisa wa TCB, Adam Lameck.


Meneja wa Mawasiliano na Uhusiano wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Gloria Mutta, (kulia) akikakabidhi msaada wa mifuko 100 ya Cement kwa Diwani wa kata ya Kiburugwa Mh. Fatuma Michael iliyotolewa na Benki ya Tanzania Commercial bank kwaajili ya kuendeleza ujenzi wa kituo kipya cha polisi cha kata hiyo ikiwa ni utamaduni wa Benki hiyo kujitolea katika kusaidia jamii. hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam wengine pichani ni Meneja wa Benki ya Tanzania Commercial Bank (TCB) Tawi la Mbagala Edward Mwoleka, Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Temeke Betha Minga, Afisa wa TCB, Adam Lameck. Pamoja na Diwani wa kata ya Charambe.

Meneja wa Benki ya Tanzania Commercial Bank (TCB) Tawi la Mbagala Edward Mwoleka (kulia), akikakabidhi msaada wa mifuko 100 ya Cement kwa Mtendaji kata wa Kiburugwa Mustapha Nguyu iliyotolewa na Benki ya Tanzania Commercial bank kwaajili ya kuendeleza ujenzi wa kituo kipya cha polisi cha kata hiyo ikiwa ni utamaduni wa Benki hiyo kujitolea katika kusaidia jamii. hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...