Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Lela Mohamed Mussa (KUSHOTO)akikunjuwa Kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Soko la Wananchi Dunga Wilaya ya Kati Unguja.Ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Lela Mohamed Mussa (KATIKATI)akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa Soko la Wananchi Dunga Wilaya ya Kati Unguja.Ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Lela Mohamed Mussa (KUSHOTO)akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Baraza la Mji Kati Salum Mohamed Abubakar katika hafla ya Ufunguzi wa Soko la Wananchi Dunga Wilaya ya Kati Unguja.Ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Lela Mohamed Mussa )akitoa hotuba  katika hafla ya Ufunguzi wa Soko la Wananchi Dunga Wilaya ya Kati Unguja.Ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...