
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Naibu Waziri wa Idara ya Mambo ya Nje ya Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Komredi Li Mingxiang (kushoto) leo tarehe 26 Februari 2023, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu, Lumumba, jijini Dar Es Salaam.


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiongoza mazungumzo na Naibu Waziri wa Idara ya Mambo ya Nje ya Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha China(CPC) Komredi Li Mingxiang pamoja na ujumbe wake leo tarehe 26 Februari 2023, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu, Lumumba, jijini Dar Es Salaam.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiwa kwenye picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Idara ya Mambo ya Nje ya Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Komredi Li Mingxiang (kushoto) mara baada ya kumaliza mazungumzo leo tarehe 26 Februari 2023 Ofisi Ndogo ya Makao Makuu, Lumumba, jijini Dar Es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...