

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Husein Ali Mwinyi (katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa (kushoto) Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa (wa pili kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Matar Zahor Masoud (kulia) na Rais wa Chama cha Walimu Zanzibar Maalim Seif Hamid Seif (wa pili kulia) kwa pamoja wakinyanyua mikono wakati waimbo wa Mshikamano katika Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nane wa Chama cha Mwalimu Zanziar ZATU uliofanyika leo ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba. [Picha na Ikulu] 12/02/2023.

Wajume wa Mkutano Mkuu wa nane wa Chama cha Walimu Zanziar (ZATU)wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Husein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano hur uliofanyila leo katika ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.[Picha na Ikulu]12/02/2023.

Wakuu wa vyombo vya ulinzi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Husein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano hur uliofanyila leo katika ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.[Picha na Ikulu]12/02/2023.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...