Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dkt. Alphonce Chandika (wa pili kushoto); Naibu Mkuu wa Chuo cha Tiba cha Vienna, Dkt. Michaela Fritz na Mkurugenzi wa Idara ya Urolojia katika Hospitali Kuu ya Vienna, Prof. Shahrokh Shariat wakiweka saini Hati ya Makubaliano kuhusu kushirikiana katika masuala ya tiba za kibingwa. Kulia ni Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Austria, Bi. Elizabeth Rwitunga.

Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dkt. Alphonce Chandika (wa pili kushoto); Naibu Mkuu wa Chuo cha Tiba cha Vienna, Dkt. Michaela Fritz na Mkurugenzi wa Idara ya Urolojia katika Hospitali Kuu ya Vienna, Prof. Shahrokh Shariat wakibadilishana Hati ya Makubaliano kuhusu kushirikiana katika masuala ya tiba za kibingwa.

Mkurugenzi Mkuu wa Hosiptali ya Benjamin Mkapa, Dkt. Alphonce Chandika akifanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kimataifa ya Open Medical Institute yenye makao makuu Austria, Prof. Wolfgang Aulitzky.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...