Meneja wa bia ya Pilsner Lager kutoka kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Wankyo Marando (kulia) akizungumza kwa njia ya mtandao na baadhi ya washindi waliopatikana kwenye droo ya pili ya promosheni ya bia hiyo ijulikanayo kama 'Kapu la Wana' iliyofanyika Jumatatu jijini Dar es Salaam.
Kushoto ni Salim Mgufi, Mkaguzi wa michezo ya kubahatisha kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania. Promosheni hiyo ni maalaum kwa wanywaji wa bia ya Pilsner mikoa ya kanda ya Ziwa, Kusini na Kaskazini.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...