Prof (CPA) Slyvia Temu Mhadhiri wa Chuo Kiuu cha Dar es Salaam, (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji (Anayekaimu) wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) David Ngh’ambi katika hafla fupi ya kujadili fursa za kuwainua wanawake katika nafasi za uongozi ndani ya benki, katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani. Tukio hilo limefanyika leo asubuhi katika ofisi za Kanda ya Mashariki za TADB jijini Dar es Salaam. 

Prof (CPA) Slyvia Temu Mhadhiri wa Chuo Kiuu cha Dar es Salaam na mfanyakazi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) wakibadilishana mawazo katika hafla fupi ya kujadili fursa za kuwainua wanawake katika nafasi za uongozi ndani ya sekta ya benki, katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani. Tukio hilo limefanyika leo asubuhi katika ofisi za Kanda ya Mashariki za TADB jijini Dar es Salaam

Mkuu wa Ukaguzi wa Mahesabu wa Ndani wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo sTanzania (TADB) Joyce Maduhu akiwapa hamasa wafanyakazi (wanawake) wa benki hiyo kuhusu mbinu za kufikia hatamu za uongozi katika sekta ya benki, wakati wa hafla fupi ya kujadili fursa za kuwainua wanawake katika nafasi za uongozi ndani ya sekta ya benki, katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani. Tukio hilo limefanyika leo asubuhi katika ofisi za Kanda y a Mashariki za TADB jijini Dar es Salaam.
Prof (CPA) Slyvia Temu Mhadhiri wa Chuo Kiuu cha Dar es Salaam na mfanyakazi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) wakibalishana mawazo katika hafla fupi ya kujadili fursa za kuwainua wanawake katika nafasi za uongozi ndani ya sekta ya benki, katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani. Tukio hilo limefanyika leo asubuhi katika ofisi za Kanda ya Mashariki za TADB jijini Dar es Salaam. 
Prof (CPA) Slyvia Temu Mhadhiri wa Chuo Kiuu cha Dar es Salaam (Watatu-Kutoka-Kushoto) katika picha ya pamoja kama mzungumzaji mwalikwa na wafanyakazi wa benki ya maendeleo ya kilimo (TADB) wakati wa hafla fupi ya kujadili fursa za kuwainua wanawake katika nafasi za uongozi ndani ya benki, katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani. Tukio hilo limefanyika leo asubuhi katika ofisi za Kanda ya Mashariki za TADB jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...