Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi
Ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Meja
Jenerali Balozi Charles Karamba (kulia) katika Ofisi ya Katibu Mkuu, Ofisi
Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi
Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Meja
Jenerali Balozi Charles Karamba (kushoto) katika Ofisi ya Katibu Mkuu, Ofisi
Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi
Ndugu Daniel Chongolo akiagana na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Meja
Jenerali Balozi Charles Karamba (kulia) katika Ofisi ya Katibu Mkuu, Ofisi
Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam.
Katibu Mkuu wa Chama Cha
Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania
Mheshimiwa Balozi Ricardo Ambrosio Mtumbuida (kushoto) katika Ofisi ya Katibu
Mkuu, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi
Ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mheshimiwa
Balozi Ricardo Ambrosio Mtumbuida (kushoto) katika Ofisi ya Katibu Mkuu, Ofisi
Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...