FREEPOD 4 Ni bidhaa mpya kutoka kampuni ya accessories ORAIMO ambayo imeboreshwa Zaidi kwenye upande wa betri ambapo, utaweza kusikiliza muziki mwororo kwa Zaidi ya masaa 30, maana yake Zaidi ya siku moja na nusu. Sio hivyo tuu bali inakuja na sifa nyengine ya Active Noise Cancellation. Sifa hii itakusaidia kusikiliza mziki au kuongea na simu bila muingiliano wa sauti za nje, FREEPOD 4 ina zuia sauti za nje (Hautaweza kusikia sauti za watu, vitu vyengine pindi ukiweka ON) kwahiyo itakupa uhuru wa kuenjoy kila utakachoko kuwa unasikiliza. Pia Kwa wale watumiaji na wapenzi wa Earbuds, hii bidhaa ni special kwao maana inakuja na muundo mpya wa Sliding Case pamoja na APP rasmi (oraimo sound) utakayotumia kuzi-control buds zako. Pia wameboresha zaidi Betri, Muonekano na Functions zitakazopatikana ndani ya App.
Bidhaa hii inapatikana katika maduka yote ya Accessories Tanzania nzima. Hivyo basi wapenda bidhaa za ORAIMO au wapenzi wa kutumia Earbud mjiandae kupokea bidhaa hii kali. Kufahamu Zaidi kuhusu bidhaa za ORAIMO tembelea tovuti yao: https://www.oraimo.com/. Au kwenye page zao za mitandao ya ijamii : https://www.instagram.com/oraimotz/
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...