Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Makamu wa Rais wa Cuba Mheshimiwa Salvado Valdés Mesa kabla ya mazungumzo yao yaliofanyika katika Mji wa Baku nchini Azerbaijan leo tarehe 01 Machi 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Cuba Mheshimiwa Salvado Valdés Mesa na ujumbe wake, Mazungumzo yaliofanyika katika Mji wa Baku nchini Azerbaijan leo tarehe 01 Machi 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimkabidhi zawadi Makamu wa Rais wa Cuba Mheshimiwa Salvado Valdés Mesa mara baada  ya mazungumzo yao yaliofanyika katika Mji wa Baku nchini Azerbaijan leo tarehe 01 Machi 2023. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...