Ukiwa unajiuliza
utabeti wapi ukiwa Kariakoo.Basi nikwambie tu sehemu ni moja tu nayo ni
Meridianbet pekee na sasa wapo kila sehemu huku maduka yao yakionekana kila
mtaa na bado maduka yatazidi kujaa kila kukicha.
Baada ya uzinduzi wa duka hilo mitaa ya Fire, Bwana Twaha Ibrahim ambaye ni mkuu wa kitengo cha Maudhui Meridianbet kwanza alisema kuwa; “Duka hili ambalo tumezindua ni la nne kwa mwezi huu, na hakika natumaini mmefurahi sisi kuwaletea duka hili kwaajili ya kuwarahisishia kwenye shughuli zenu za kubetia”
Twaha hakuishia hapo
aliwashukuru watu wote ambao walihudhuria kwenye uzinduzi huo na kuwaambia kuwa
hawajakosea kuchagua Meridianbet kwenye kubashiri kwani Meridianbet hutoa kile
ambacho wanakitaka na pia ODDS KUBWA zipo hapa.
Pia tembelea tovuti ya Meridianbet www.meridianbet.co.tz kuona ongezeko la odds kubwa na machaguo kibao.
Meridianbet pia wana kile ambacho unakipenda ambapo michezo ya kasino ya matandaoni hapa ndipo mahali pake kuna sloti za kijanja na michezo rahisi kushinda kama Aviator, Poker na Roulette, jiunge Meridianbet uwe moja ya washindi wa kila siku. Pia unaweza kubashiri mubashara mechi hizo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...