Meridianbet inakuja kivingine kwa kutoapromosheni ya michezo ya kasino ya mtandaoniambapo Expanse Kasino iankuapatia shilingi800,000 za Kitanzania endapo utaingia na kuchezamichezo hiyo na ni kwa dau dogo tuu unajiwekakwenye nafasi ya kuwa bingwa.

Meridianbet wakali wa Kasino ya mtandaoni wenyesloti rahisi kushinda kama Aviator, Poker na Roulletewanagawa mpunga wa kutosha mwezi huuusipangekukosaMichezo ya sloti inayohusika kutoa mtonyohuu ni Book of Egypt, Bounty hunters, Capital City Derby, Forest Rock, Pirates Power, Spinning Buddha, The Book of Eskimo, Wild icy fruits.

 

Jinsi ya Kushiriki kwenye Promosheni hii

 

Ni rahisi sana wala huhitaji kutumia nguvu kubwanikama kumsukuma mlevi vile hata kwa kutumia kidoleanasogea tu. Cha kufanya zingatia yafuatayo ili kuwamoja ya wachezaji wazuri wa Kasino ya Mtandaoni yaMeridianbet:

 

• Promosheni ya mashindano ya Expanse - itafanyikakatika kipindi cha kuanzia Machi 17 mpaka Machi 22-2023.

 

Promosheni hii itahusisha wachezaji waliosajiliwakwenye APP ya simu na tovuti ya www.meridianbet.co.tz

 

Wakati wa ofawachezaji hushindana kulingana naidadi ya mizunguko inayochezwa kwenye michezo yawatoa huduma ya Expanse. Michezo ambayo inahusikawakati wa mashindano niBook of Egypt, Bounty hunters, Capital City Derby, Forest Rock, Pirates Power, Spinning Buddha, The Book of Eskimo, Wild icy fruits.

 

Orodha ya nafasi iko ndani ya mchezo na itaonekanasaa 24 baada ya mwisho wa mashindano.

 

• Kulingana na orodha ya mwisho ya nafasiwachezajiwalioshika nafasi za juu watatunukiwa bonasi zakasino katika viwango vifuatavyo:

 

  •1. Nafasi ya Kwanza   250,000 TZS

  •2. Nafasi ya Pili           200,000 TZS

  •3. Nafasi ya Tatu                 150,000 TZS

  •4. Nafasi ya nne          100,000 TZS

  •5. Nafasi ya Tano        100,000 TZS

 

• Ili bonasi ya kasino iliyokabidhiwa ihamishwe kwaakaunti ya pesa ya mchezajini muhimu kuiwekezamara 30 kwenye mchezo wowote wa yanayopangwawa mtoa huduma wa Expanse. Ushindi wa juuunaoweza kutolewa ni 500,000TZS.

 

Ofa hii ni halali kwa kila mtumiajianwani ya IP nakaya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...