Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasili katika kituo cha pamoja cha kutolea huduma na ubunifu cha nchi ya Azerbaijan (State Agency for Public Service and Social Innovation) kilichopo katika Mji wa Baku leo tarehe 03 Machi 2023.



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkuu wa kituo cha pamoja cha kutolea huduma na ubunifu cha nchi ya Azerbaijan (State Agency for Public Service and Social Innovation) Ulvi Mehdiyev wakati alipotembelea kituo hicho kilichopo katika Mji wa Baku leo tarehe 03 Machi 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika Mazungumzo na Mkuu wa kituo cha pamoja cha kutolea huduma na ubunifu cha nchi ya Azerbaijan (State Agency for Public Service and Social Innovation) Ulvi Mehdiyev wakati alipotembelea kituo hicho kilichopo katika Mji wa Baku leo tarehe 03 Machi 2023.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...