Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mawaziri wa Kisekta, Wakuu wa Mikoa ya Tanga na Arusha, Wakuu wa wilaya za Mkoa wa Tanga, Watumishi, Viongozi wa Kimila na wawakilishi wa wananchi wa kijiji cha Msomera, Handeni, Tanga Machi 07, 2023.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mawaziri wa Kisekta, Wakuu wa Mikoa ya Tanga na Arusha, Wakuu wa wilaya za Mkoa wa Tanga, Watumishi, Viongozi wa Kimila na wawakilishi wa wananchi wa kijiji cha Msomera, Handeni, Tanga Machi 07, 2023.

Baadhi ya Madiwani wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika kikao na Mawaziri wa Kisekta, Wakuu wa Mikoa ya Tanga na Arusha, Wakuu wa wilaya za Mkoa wa Tanga, Watumishi, Viongozi wa Kimila na wawakilishi wa wananchi wa kijiji cha Msomera, Handeni, Tanga Machi 07, 2023.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Maliasili na Utalii Mohamed Mchengerwa wakati akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga kwa ajili ya kikao na Mawaziri wa Kisekta, Wakuu wa Mikoa ya Tanga na Arusha, Wakuu wa wilaya za Mkoa wa Tanga, Watumishi, Viongozi wa Kimila na wawakilishi wa wananchi wa kijiji cha Msomera, Tanga Machi 07, 2023.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...