Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kushoto) akiagana na Bibi. Mtumwa Fikirini (kulia) pamoja na Wazeewengine mara baada ya kupata futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi,kwa Wazee wa Chama cha Mapinduzi CCM katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar jana.[Picha na Ikulu] 18/04/2023.




Viongozi na Wazee wa Chama cha Mapinduzi wakiitikia dua iliyoombwa baada ya kumalizika kwa futari ya Wazee wa CCM iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi,katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar jana.[Picha na Ikulu] 18/04/2023.



Baadhi ya Viongozi wa Jumuiya ya Wanawake wakiwa katika futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi,kwa Wazee wa Chama cha Mapinduzi CCM katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar jana.[Picha na Ikulu] 18/04/2023.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...