MRADI wa Utafiti wa Ufuatiliaji wa Malaria nchini (MSMT) umeleta mabadiliko makubwa, umewezesha Kufanya utafiti Utaleta taarifa muhumi kwa wizara ya afya kusaidia serikali kupambana na malaria. 

Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa Kuratibu na Kukuza Utafiti (NIMR) Dkt. George Praygod wakati akizungumza Aprili 25, 2023 na waandishi wa habari katika Viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam wakati wa Maadhimisho ya siku ya Maralia duniani ambayo huadhimishwa ifikapo Aprili 25 kila mwaka.

Amesema kuwa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) Mradi umesaidia kupunguza vifo vya maralia kwenye miaka ya 2000 kulikuwa na wagonjwa zaidi ya laki moja sasa wana vifo chini ya elfu kumi ambayo ni mafanikio.

Amesema kutumika katika utafiti ili ugonjwa Maralia uweze kutokomezwa kabisa ifikapo 2030.     

“Tukiendelea kupambana tunaweza kufikia ZERO Maralia kabla ya mwaka 2030 katika Mkoa wa Kagera kunavimelea vya maralia ambavyo vinausugu wa dawa za maralia. 

Amesema kuwa Takwimu zinaweza kusaidia Serikali kwenda kupambana na vimelea hivyo ili visiweze kusambaa kwenda kwenye maeneo mengine na kusababisha matatizo makubwa.

Pia imeweza kuonesha kwamba vifaa vinavyotumika kupimia maralia vinafanya kazi vizuri na hii inaiwezesha serikali kutafuta mbinu mbalimbali zinazowezesha kutokomeza vimelea vinavyoonekana na vinapatikana katika maeneo tofauti tofauti ya nchi.

Na hiyo inaweza kuwa na mbinu bora za kuweza kumaliza kabisa ugonjwa. 
Akimalizia amesema kuwa NIMR wamewajengea uwezo wa kimaabara Watafiti ambapo kwa sasa wanaweze kufanya utafiti, kutoa takwimu kwa wakati na tafiti hizo zinajibu maswali mhimu kwaajili ya kukabiliana na Maralia.
na Kaimu Mkurugenzi wa Kuratibu na Kukuza Utafiti NIMR Dkt. George Praygod akizungumza na waandishi wa habari katika Viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam wakati wa Maadhimisho ya siku ya Maralia ambayo huadhimishwa kila ifikapo Aprili 25 kila mwaka.
Mtafiti Kiongozi kutoka NIMR, Deusdedith Ishengoma akizungumza na waandishi wa habari katika Viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam wakati wa Maadhimisho ya siku ya Maralia ambayo huadhimishwa kila ifikapo Aprili 25 kila mwaka.
Wafanyakazi wa NIMR wakiwa katika picha ya pamoja katika Viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam wakati wa Maadhimisho ya siku ya Maralia ambayo huadhimishwa kila ifikapo Aprili 25 kila mwaka.
Wafanyakazi wa NIMR wakiwa katika picha ya pamoja katika Viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam wakati wa Maadhimisho ya siku ya Maralia ambayo huadhimishwa kila ifikapo Aprili 25 kila mwaka.
Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baraza la kutokomeza Maralia.
Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la kutokomeza Maralia, Leodegar Chilla Tenga lililozinduliwa katika Viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam wakati wa Maadhimisho ya siku ya Maralia ambayo huadhimishwa kila ifikapo Aprili 25 kila mwaka.
Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa Baraza la kutokomeza Maralia katika Viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam wakati wa Maadhimisho ya siku ya Maralia ambayo huadhimishwa kila ifikapo Aprili 25 kila mwaka.


Baadhi ya waanchi waliofika katikla viwanja vya Mnazi mmoja kupima Maralia katika Banda la NIMR








Baadhi ya Wafanyakazi wa NIMR wakiwapima Maralia wananchi waliojitokeza katika Viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam wakati wa Maadhimisho ya siku ya Maralia ambayo huadhimishwa kila ifikapo Aprili 25 kila mwaka.


Baadhi ya wananchi wakiwa katika Viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam wakati wa Maadhimisho ya siku ya Maralia ambayo huadhimishwa kila ifikapo Aprili 25 kila mwaka.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...