Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiomba dua pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenista Mhagama, Dkt. Baghayo Saqware Kamishna wa Bima (wa kwanza kulia) na Dkt. Edmund Mndolwa Mwenyekiti wa Bodi ya Assemble Insurance katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Assemble Insurance Tanzania iliyofanyika katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma Aprili 17, 2023.PICHA NA OFISI YA BUNGE.Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson akibadilishana mawazo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenista Mhagama, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajab Shaaban, Dkt. Baghayo Saqware Kamishna wa Bima (wa kwanza kulia) na Dkt. Edmund Mndolwa Mwenyekiti wa Bodi ya Assemble Insurance katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Assemble Insurance Tanzania iliyofanyika katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma Aprili 17, 2023.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...