Waziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (katikati),
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb)
(kushoto) na Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) wakiwa katika
kikao kazi na wataalamu kutoka Wizara hizo wakiangazia namna ya kukuza
Uwekezaji, Viwanda, Biashara na Kilimo, jijini Dodoma.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Natu El- Maamry Mwamba
(kushoto) akiwa na wataalamu wengine wakati wa kikao kazi na Waziri wa
Fedha na Mipango, Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) Waziri wa Uwekezaji,
Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) na Waziri wa Kilimo,
Mhe. Hussein Bashe (Mb) (hawapo pichani), kilichofanyika, jijini
Dodoma.
Waziri wa
Fedha na Mipango, Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), Waziri wa Uwekezaji,
Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) na Waziri wa Kilimo,
Mhe. Hussein Bashe (Mb) (mbele), wakiwa katika kikao kazi na wataalamu
kutoka Wizara hizo tatu, jijini Dodoma.Waziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (katikati),
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb)
(kushoto) na Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) wakiwa katika
kikao kazi na wataalamu kutoka Wizara hizo wakiangazia suala la
Uwekezaji, Viwanda, Biashara na Kilimo, jijini Dodoma.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WFM, Dodoma)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...