
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (katikati), akisalimiana na Balozi wa Ubelgiji nchini, Bw. Peter HUYGHEBAERT (kushoto), wakati wa hafla ya kuzindua rasmi mchakato wa maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Maendeleo ya Rasilimali Watu (Africa Human Capital Heads of State Summit), uliyofanyika Jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 25 - 26 July, 2023, ambapo Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alikuwa Mgeni Rasmi. Kulia ni Kamishna wa Idara ya Fedha za Nje Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Rished Bade.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (katikati), akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Bw. Nathan Belete (kushoto), wakati wa hafla ya kuzindua rasmi mchakato wa maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Maendeleo ya Rasilimali Watu (Africa Human Capital Heads of State Summit), uliyofanyika Jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 25 - 26 July, 2023, ambapo Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alikuwa Mgeni Rasmi. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt Stergomena Lawrence Tax.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kushoto), akisalimiana na Balozi wa Norway nchini, Bi. Elisabeth Jacobsen (kulia) na Balozi wa Finland nchini, Bi Theresa Zitting (katikati), wakati wa hafla ya kuzindua rasmi mchakato wa maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Maendeleo ya Rasilimali Watu (Africa Human Capital Heads of State Summit), uliyofanyika Jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 25 - 26 July, 2023, ambapo Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alikuwa Mgeni Rasmi.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza na waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari baada ya hafla ya kuzindua rasmi mchakato wa maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Maendeleo ya Rasilimali Watu (Africa Human Capital Heads of State Summit), uliyofanyika Jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 25 - 26 July, 2023, ambapo Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alikuwa Mgeni Rasmi.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WFM, Dar es Salaam)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...