Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Meja Jenerali Gaudence Milanzi (wa sita kulia) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Wizara ya Habari Vijana, Utamaduni na Michezo Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Meja Jenerali Gaudence Milanzi (kulia) akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Bi. Fatma Hamad Rajab (kushoto) katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Mei 22, 2023 jijini Pritoria.
Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Meja Jenerali Gaudence Milanzi akizungumza na watumishi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiongozwa na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Bi. Fatma Hamad Rajab.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...