Mtaalamu Mwandamizi wa Fedha kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Mitaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa (UNCDF) na Meneja wa Programu ya CookFund, Immanuel Muro (kulia), akifafanua jambo kuhusu programu hiyo yenye udhamini wa Euro milioni 17 kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kwa wakuu wa programu wa umoja huo, jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Wengine ni Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini, Manfredo Fanti (wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa Idara ya Nishati wa EU, Massimiliano Pedretti.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...