Meneja Mahusiano wa Benki ya CRDB Kanda ya Kati,Jane Maganga akizungumza katika Uzinduzi wa Ushirikiano kati ya Kampuni ya ECOWATER na CRDB katika Kuboresha mfumo wa Malipo,iliyofanyika leo julai 11,2023 katika Chuo cha Biashara(CBE) jijini Dodoma.
Mkuu wa Opareshi ECOWATER,Deogratius Massawe,akitoa taarifa katika Uzinduzi wa Ushirikiano kati ya Kampuni ya ECOWATER na CRDB katika Kuboresha mfumo wa Malipo,iliyofanyika leo julai 11,2023 katika Chuo cha Biashara(CBE) jijini Dodoma.
Meneja Mahusiano wa Benki ya CRDB Kanda ya Kati,Jane Maganga (wa pili kushoto) na Mwendeshaji wa Shughuli za Kiutawala ECOWATER,Sarah Kessy (wa pili kulia) wakionesha mkataba walioingia baina yao wakati wa Uzinduzi wa Ushirikiano kati ya Kampuni ya ECOWATER na CRDB katika Kuboresha mfumo wa Malipo,iliyofanyika leo Julai 11,2023 katika Chuo cha Biashara(CBE) jijini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...