Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiagana na Balozi wa Tanzania nchini Italia, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika katika ofisi za Ubalozi huo Jijini Roma nchini Italia tarehe 24 Julai, 2023.

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika ofisi za Ubalozi wa Italia Jijini Roma tarehe 24 Julai, 2023, aliesimama ni Balozi wa Tanzania nchini Italia, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (watatu kulia) akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Italia, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (watano kushoto) alipomtembelea tarehe 24 Julai, 2023 katika ofisi za Ubalozi huo Jijini Roma nchini Italia. Wapili kulia ni Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc, pamoja na Maafisa kutoka Ofisi ya Bunge na Ubalozi wa Tanzania nchini Italia.

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Italia, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo alipomtembelea tarehe 24 Julai, 2023 katika ofisi za Ubalozi huo Jijini Roma nchini Italia. Kulia ni Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Italia, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo mara baada ya kuwasili katika ofisi za Ubalozi huo Jijini Roma nchini Italia tarehe 24 Julai, 2023.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...