Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa kutoka Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA)Makyei Ntiro (wa pili kushoto) akitoa elimu kuhusu namna wanafunzi wanavyoweza kujisajili na kufanya mitihani ya Bodi kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa kutoka Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) Rebecca Siame (wa pili kulia) akitoa elimu kuhusu kazi zinazofanywa na Bodi hiyo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba akiwa kwenye picha ya pamoja na Baadhi ya maofisa wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) mara baada ya kutembelea Banda la Bodi hiyo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...