RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Mkakati wa Kidigitali wa Serikali na Mfumo wa Bajeti na Matumizi Serikalini, uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 29-7-2023 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman na Mkurugenzi Mtendaji wa e- Government Zanzibar (e-GAZ )Ndg.Said Seif Said na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mkakati wa Kidigitali wa Serikali na Mfumo wa Bajeti na Matumizi Serikalini, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 29-7-2023.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Mawaziri wa SMZ,Viongozi wa Dini na wageni waalikwa katika Uzinduzi wa Mkakati wa Kidigitali wa Serikali na Mfumo wa Bajeti na Matumizi Serikalini, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiemesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 29-7-2023.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa Mkakati wa Kidigitali wa Serikali na Mfumo wa Bajeti na Matumizi Serikalini uliozinduliwa leo 29-7-2023 katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Serikali Mtandao Zanzibar ( e- Government Zanzibar) Ndg.Said Seif Said akizungumza na kutowa maelezo wakati wa Uzinduzi wa Mkakati wa Kidigitali wa Serikali na Mfumo wa Bajeti na Matumizi Serikalini, uliozinduliwa leo 29-7-2023 katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tupil Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini ZanzibaR.29-7-2023.(Picha na Ikulu)

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...