WAKALA wa usajili ufilisi na udhamini RITA Ni moja ya Taasisi inayotoa na inaendelea na huduma kwenye Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Hivyo Wananchi wananufaika na maonyesho hayo huku wakijitoteza kwa wingi na kuendelea kupata huduma ya vyeti vya kuzaliwa kwa urahisi zaidi mpaka Sasa Wananchi waliojitokezaa na kufanya usajili huo takribani zaidi ya wnanchi Elufu Moja na zaidi washajiandikisha na watapatiwa vyeti vyao kabla ya maonyesho hayo..jpeg)
.jpeg)
wananchi wakiendelea kuapata huduma
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...