HII ni kwa wale wapenda soka, mchezo mpya wa kasino ya mtandaoni unakupa nafasi ya kutengeneza pesa ukipiga mikwaju ya penati na kufunga moja kwa moja unakuwa umeshinda.

“Penalty Series” ni mchezo mzuri wa Meridianbet kasino ya mtandaoni uliotengenezwa na Evoplay. Hata hivyo, hutapata fursa ya kupiga penati tu, lakini pia utajaribu nafasi ya mlinda mlango.

Moja ya chimbo la uhakika kupiga mikwaju ya penati kwenye gemu na kisha kuvuta mtonyo kirahisi ni kucheza Penalty series, sloti, kubashiri na kucheza kasino ya mtandaoni Meridianbet.

Sifa Za Mchezo Wa Penalty Series
Kama nilivyosema hapo awali, “Penalty Series” ni mchezo wa kasino ya mtandaoni ambao unaweza kucheza kama gemu nyingine za soka lakini huu tofauti yake unaweza kupiga mikwaju ya penati kisha unalipwa.

Mchezo umewekwa kwenye uwanja wa soka na mpira uko kwenye nafasi ya penati. Jukumu lako la kwanza ni kufunga bao kwa njia ya penati.
Kuanza, utaona bendera za nchi mbalimbali na unaweza kuchagua timu unayoipenda iwe chama lako la ushindi.

Miongoni mwa bendera 94 unazoweza kuchagua, kuna timu kutoka bara la Afrika. Chagua timu yako na anza safari ya kuelekea kwenye ushindi kutoka Meridianbet kasino ya mtandaoni.

Ikiwa unataka kubadilisha timu unayotaka kuunga mkono, unaweza kubonyeza kitufe chenye picha ya bendera na kubadilisha timu yako.

Chini ya mipangilio ya mchezo, utapata kitufe cha Bet na vitufe vya kuongeza au kupunguza ili kuchagua thamani ya dau lako.

Kwa kubonyeza kitufe chenye picha ya sarafu, skrini itafungua skrini ambapo utachagua dau lako.

Jinsi ya kucheza “Penalty Series”?
Hatua ya kwanza katika mchezo huu ni kupiga penati. Katika mchezo huu unaopatikana Meridianbet kasino ya mtandaoni, utapiga mikwaju sita ya penati, ambapo utapiga mikwaju mitatu na kujaribu kuzuia mikwaju mitatu.

Baada ya kumaliza kila hatua kwa mafanikio, unaweza kubonyeza chaguo la Kukusanya (Collect) na hivyo kupata kiasi fulani cha pesa. Hata hivyo, kadiri unavyocheza zaidi, malipo yako ndivyo yanavyoongezeka, na malipo makubwa yanakusubiri kama unaweza kufunga mabao yote na kuzuia mikwaju yote mitatu.

Ukiweza kufanya hivyo, utapokea mara 61.44 zaidi ya dau lako!

Malipo katika mchezo wa kawaida hutolewa kulingana na viwango vifuatavyo:
Kukamilisha jukumu moja inakuletea mara 1.92 zaidi ya dau lako
Kukamilisha majukumu mawili kunakuletea mara 3.84 zaidi ya dau lako
Kukamilisha majukumu matatu kunakuletea mara 7.68 zaidi ya dau lako
Kukamilisha majukumu nne kunakuletea mara 15.36 zaidi ya dau lako
Kukamilisha majukumu matano kunakuletea mara 30.72 zaidi ya dau lako
Kukamilisha majukumu sita kunakuletea mara 61.44 zaidi ya dau lako

Hata hivyo, burudani haishii hapo, unaweza kubashiri kwa beti za nje pia. Unaweza kubashiri kwa kila penati tofauti kama itakuwa bao au kuzuia. Ikiwa utapata tiketi yenye mikwaju sita na kufanikiwa kutabiri matokeo ya mikwaju yote sita, pia utapokea mara 61.44 zaidi ya dau lako.

Kubashiri kwa kufanikiwa kwa mikwaju mitatu au kuzuia mikwaju mitatu kwa beti za nje pia itakupatia mara 7.68 zaidi ya dau lako.

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...