Floyd Joy MayWeather ama ukipenda muite May Money wengine wanamuita Sinclair “Mtu na Nusu Tajiri Mtoto” historia ya mchezo wa ngumi za kulipwa inampa heshima kubwa staa huyu wa kimarekani mwenye rekodi kubwa za dunia.
Mayweather ni mzaliwa wa mitaa ya Grand Rapids huko Michigan Marekani, dunia ilimpokea staa huyu mnamo Februari 24, 1977 vyombo vya habari viliandika jina lake na rekodi zake.
Ikumbukwe Mayweather jr alistaafu ngumi za kulipwa mwaka 2017 bila kupoteza pambano hata moja akiwa na rekodi ya ubingwa wa dunia mara 15 katika madaraja ya uzito wa Welter, Super feather na Light middleweight na Light welterweight.
Una nafasi ya kuweka rekodi kama Mayweather ukibashiri na Meridianbet au kucheza kasino ya mtandaoni na sloti kwa kubonyeza hapa.
Mtaji wake mkubwa ulitokana na mechi na nyota wa UFC, Conor McGregor
Mechi ya mwisho katika kazi yake ilimletea mapato makubwa zaidi. Alipingwa mara kadhaa na Connor McGregor, nyota mkubwa wa UFC.
Kwa mujibu wa Forbes, Mayweather tayari alikuwa na mshahara wa zaidi ya nusu BILIONI wakati huo.
Moja ya chimbo la uhakika kupiga mtonyo ni kucheza sloti, kubashiri na kucheza kasino ya mtandaoni Meridianbet, ongeza mapato yako kwa kubashiri na Meridianbet.
Floyd Mayweather alikubali mechi hiyo na kumshinda McGregor kwa mtoano wa kiufundi katika raundi ya kumi.
Inakadiriwa kuwa Mayweather amekusanya takriban $300,000,000 katika akaunti yake ya benki kwenye mechi hii pekee nzuri sana kwa bondia.
Chanzo cha pambano la Conor McGregor na Floyd Mayweather kinapatikana: forbs.com
Kwa mujibu wa orodha ya Forbes, Mayweather alikuwa ni bondia anayelipwa pesa nyingi zaidi duniani kwa miaka mitatu mfululizo.
Michezo ya kubashiri na taaluma yake mwenyewe vimemlipa! Ni wazi kwamba mtu huyu alizaliwa chini ya nyota ya bahati.
Floyd Mayweather amechanganya mataji ya dunia katika makundi manne tofauti na kumfanya kuwa bondia aliyefanikiwa zaidi katika karne ya 21.
Warithi wake katika ulimwengu wa ndondi wana kibarua kigumu cha kufikia mafanikio ya Mayweather kimichezo na kifedha! Lakini moja ya njia rahisi kumfikia kifedha ni kubashiri Meridianbe huku ukicheza sloti na kasino ya mtandaoni.
NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...