Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mh. Dkt. Hussein Mwinyi akimkabidhi tunzo ya banda la utoaji huduma bora kwa kundi la makampuni ya simu, Meneja Msimamizi wa Huduma za Uwezeshaji na Upatikanaji wa Vodacom Tanzania PLC, Edward Byampanju wakati wa kuhitimisha Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, Sabasaba, Julai 13, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mwinyi pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Bi. Latifa Khamis, kushoto.


Meneja wa Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania PLC, Alex Bitekeye (katikati) na Meneja wa M-Pesa wa Dar es Salaam na Pwani, Ombeni Urassa (wa pili kulia) wakiwa kwenye picha ya Pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo baada ya kutangazwa washindi wa tunzo ya banda la utoaji huduma bora kwa kundi la makampuni ya simu, Meneja Msimamizi wa Huduma za Uwezeshaji na Upatikanaji wa Vodacom Tanzania PLC, Edward Byampanju wakati wa kuhitimisha Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, Sabasaba, Julai 13, jijini Dar es Salaam.


Msimamizi wa Maduka ya Rejareja wa Kanda ya Dar es Salaam na Pwani wa Vodacom Tanzania, Bi. Augustina Mutagurwa (katikati) akiwa kwenye picha ya Pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo baada ya kutangazwa washindi wa tunzo ya banda la utoaji huduma bora kwa kundi la makampuni ya simu, Meneja Msimamizi wa Huduma za Uwezeshaji na Upatikanaji wa Vodacom Tanzania PLC, Edward Byampanju wakati wa kuhitimisha Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, Sabasaba, Julai 13, jijini Dar es Salaam.


Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC wakifurahia kwa Pamoja baada ya kutangazwa washindi wa tunzo ya banda la utoaji huduma bora kwa kundi la makampuni ya simu, Meneja Msimamizi wa Huduma za Uwezeshaji na Upatikanaji wa Vodacom Tanzania PLC, Edward Byampanju wakati wa kuhitimisha Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, Sabasaba, Julai 13, jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...