 Mkurugenzi Mtendaji wa NDC Nicolaus shombe  akipata maelezo kutoka Mkuu wa kitengo cha uhusiano wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Sarah Goroi  wakati alipotembelea banda hilo kwenye  maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa  Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage  Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa NDC Nicolaus shombe  akipata maelezo kutoka Mkuu wa kitengo cha uhusiano wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Sarah Goroi  wakati alipotembelea banda hilo kwenye  maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa  Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage  Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Insurance Dkt.Elirema Doriye  akiwa katika picha ya pamoja  na wafanyakazi wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) wakati alipotembelea banda hilo kwenye  maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa  Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage  Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Insurance Dkt.Elirema Doriye akisaini kitabu cha wageni katika banda la Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) wakati alipotembelea banda hilo kwenye  maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa  Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage  Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.


 
.jpeg)

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...