Mkurugenzi wa M-Pesa, Bw. Epimack Mbeteni (katikati) akiwa amejumuika na wateja kupata huduma za M-Pesa kwenye banda la Vodacom Tanzania katika maonyesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yaliyoanza Juni 28 hadi Julai 13, 2023 katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katika msimu huu wa Sabasaba watanzania watarudishiwa mpaka 10% ya pesa wakilipia bidhaa kwa simu (M-Pesa). Vile vile wanayo fursa ya kununua simu kwa bei nafuu kwa pesa taslimu au mkopo na kunufaika na hadi GB 96 kwa mwaka. Huduma nyingine ni pamoja na kuunganishwa Vodabima na kupata router za intaneti za 5G.




Mtoa Huduma wa Vodacom Tanzania, Emmanuel Gichoto (kulia) akizungumza na mmojawapo wa wateja waliotembelea katika banda la Vodacom Tanzania katika maonyesha ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yaliyoanza Juni 28 hadi Julai 13, 2023 katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya manunuzi ya simu mwishoni mwa wiki. Katika msimu huu wa sabasaba watanzania watarudishiwa mpaka 10% ya pesa wakilipia bidhaa kwa simu (M-Pesa). Vile vile wanayo fursa ya kununua simu kwa bei nafuu kwa pesa taslimu au mkopo na kunufaika na hadi GB 96 kwa mwaka.
Wakala wa Mauzo ya Simu, Husna Maturia (kushoto) akizungumza na mmojawapo wa wateja waliotembelea katika banda la Vodacom Tanzania katika maonyesha ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yaliyoanza Juni 28 hadi Julai 13, 2023 katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya manunuzi ya simu mwishoni mwa wiki. Katika msimu huu wa sabasaba watanzania watarudishiwa mpaka 10% ya pesa wakilipia bidhaa kwa simu (M-Pesa). Vile vile wanayo fursa ya kununua simu kwa bei nafuu kwa pesa taslimu au mkopo na kunufaika na hadi GB 96 kwa mwaka.

Wakala wa Mauzo ya Simu, Isabela Nangabo (kushoto) akizungumza na mmojawapo wa wateja waliotembelea katika banda la Vodacom Tanzania katika maonyesha ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yaliyoanza Juni 28 hadi Julai 13, 2023 katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya manunuzi ya simu mwishoni mwa wiki. Katika msimu huu wa sabasaba watanzania watarudishiwa mpaka 10% ya pesa wakilipia bidhaa kwa simu (M-Pesa). Vile vile wanayo fursa ya kununua simu kwa bei nafuu kwa pesa taslimu au mkopo na kunufaika na hadi GB 96 kwa mwaka.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...