Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea tuzo maalum ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kutoka kwa Latifa Ismail ambaye ni Mhasibu wa Umoja wa Watanzania waishio St. Petersburg nchini Urusi wakati alipozungumza nao kwenye hoteli ya Lotte nchini humo, Julai 29, 2023.Tuzo hiyo ni yakumpongeza Mheshimiwa Rais Samia kwa uongozi na utawala bora. Wa pili kushoto ni Katibu wa Umoja huo, Deogratias Kalulu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea tuzo maalum ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kutoka kwa Latifa Ismail ambaye ni Mhasibu wa Umoja wa Watanzania waishio St. Petersburg nchini Urusi wakati alipozungumza nao kwenye hoteli ya Lotte nchini humo, Julai 29, 2023.Tuzo hiyo ni yakumpongeza Mheshimiwa Rais Samia kwa uongozi na utawala bora. Wa pili kushoto ni Katibu wa Umoja huo, Deogratias Kalulu.
Baadhi ya Watanzania waishio nchini Urusi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza nao kwenye ukumbi wa hoteli ya Lotte, St. Petersburg nchini Urusi, Julai 29, 2023. Mheshimiwa Waziri Mkuu alikwenda Urusi kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa Pili wa Kilele baina ya Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi. Wengine pichani ni baadhi ya viongozi na watendaji wa serikali walioambatana na Waziri Mkuu katika ziara hiyo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...