Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya TTB wakifuatilia mazungumzo wakati wa kikao kilichofanyika katika hotel ya Gran Melia
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Tanzania (TTB), Mhe.Balozi Dkt. Ramadhan Dau(kushoto) ameanza rasmi kutekeleza majukumu yake kwa kukutana na Menejimenti ya TTB kwa lengo la kupata taarifa za TTB na kuweka mikakati ya kutekeleza majukumu aliyopewa. Kikao hicho kimefanyika leo tarehe 22 Agosti, 2023 katika hotel ya Gran Melia, jijini Arusha.
Wajumbe wa Menejiment ya TTB wakifuatilia mazungumzo wakati wa kikao

Baadhi ya Wajumbe wa Menejiment ya TTB waliyohudhuria kikao hicho
Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...