Mkuu wa mkoa wa Njombe Mh. Anthony Mtaka (wa pili kushoto) akizungumza na Meneja Masoko na Uhusiano wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga TCAA Bw. Yesaya Mwakifulefule(wa kwanza kushoto) alipotembelea banda la Mamlaka hiyo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo ya Nanenane yanayofanyika kwenye viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya. Kutoka kulia ni Afisa Uhusiano na Mawasiliano TCAA Maureen Swai, Kassim Ally na Afisa Uhusiano Mwandamizi TCAA Ally Changwila .
Meneja Masokona Uhusiano wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga TCAA Bw. Yesaya Mwakifulefule (kushoto) akimpa maelezo Mwanahabari na Mjasiriamali Mboni Masimba katika wakati alipotembelea Katika banda la Mamlaka hiyo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo ya Nanenane yanayofanyika kwenye viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya
Mwanahabari na Mjasiriamali Mboni Masimba akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea Katika banda la Mamlaka hiyo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo ya Nanenane yanayofanyika kwenye viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya. Kushoto ni Afisa Uhusiano na Mawasiliano TCAA Maureen Swai .
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...