MERIDIANBET wanazidi kumwaga mpunga kwa washindi mbalimbali ambao wanabeti kupia kampuni hiyo ya ubashiri yenye kila chaguo ulitakalo wewe. Na wiki iliyopita washindi mbalimbali walitangazwa ambao kwa dau dogo tuu waliweza kujishindi pesa za kutosha.

Unajiuliza pesa utatoa wapi? Ni Meridianbet ambao msimu huu mpya wa Ligi wamekuja na ODDS KUBWA sana. EPL wiki hii inakupa pesa kupitia mechi ya Tottenham Hot Spurs dhidi ya Manchester United ya Ten hag. Nani kuibuka na ushindi hapo kesho?.

Nao Brighton waliotoa kichapo kikali mechi iliyopita watakuwa wageni wa Wolves ambao walipoteza mchezo uliopita. Seagulls wamepewa odds ya ushindi ya 1.91 huku mwenyeji akiwa na odds ya 3.72. Yupi atakupa pesa kesho?.

Ukiwa na Meridianbet ni rahisi kujinyakulia kitita cha pesa kwani kuna michezo ya kasino kama vile, Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao ya kupiga pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

*Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii

Meridianbet inakupatia machaguo mengi zaidi ya 1000, ODDS Kubwa na kile ambacho unakitaka ndio maana kaulimbiu yao inasema kuwa, “Meridianbet, Msimu Mpya Mzigo wa Kutosha”. Kama bado hujajisajili na Meridianbet muda ndio ingia www.meridianbet.co.tz uanze kucheza michezo mbalimbali ya kasino pamoja na kubashiri mechi.


Kule Serie A nako hapatapoa ambapo tutashuhudia mechi za kibabe sana kutoa Italia mechi zenye odds za kibabe Sassuolo dhidi ya Atalanta. Timu hizi mbili mechi za msimu uliopita kila timu ilishinda kwake. Genoa tamenyana dhidi ya Fiorentina na nafasi kubwa ya ushindi amepewa mgeni. Bei sasa.

Mabingwa wa Ligi hiyo Napoli watakuwa ugenini kucheza dhidi ya timu iliyopanda daraja Frosinone ambao wana odds ya 8.03. Je Mabingwa hawa wataanzaje ligi?. Empoli uso kwa uso dhidi ya Hellas Verona. Mara ya mwisho kukutana,walitoshana nguvu kwa kufungana moja kwa moja.

Vijana wa Mourinho watamleta nyumbani Salernitana . AS Roma ilikosa ubingwa wa Ligi ya Konferensi msimu uliopita. Je wanaweza kutetea taji la ligi kuu wacheze UEFA. Safari inaanza Jumapili. Bashiri na Meridianbet sasa.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

LALIGA ni kivumbi pia Osasuna atamualika nyumbani kwake Athletic Bilbao. Bilbao ndnai ya Meridianbet amepewa nafasi kubwa ya kushinda akiwa na ODDS ya 2.69 wakati kwa upande wa mwenyeji ana ODDS ya 2.79. Nani kuibuka mbabe?

Barcelona atakuwa nyumbani kwake kucheza dhidi ya Cadiz ambao wametoka kushind amechi yao ya kwanza ya ufunguzi wa Ligi. Vijana wa Xavi walitoa suluhu mechi iliyopita. Je mechi ya pili nini watafanya?

Ndugu mteja endelea kubeti na Meridianbet huku ukisubiri mechi za ligi zote kurejea wiki ijayo na kwasasa odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Ligi ya Ujerumani Bundesliga itarindima wikendi hii, Borussia Dortmund atacheza dhidi ya FC Cologne huku mechi hizi mbili msimu uliopita zilipokutana zilifungana jumla ya magoli 12 kwenye mechi mbili na kila mtu aliondoka na pointi 3 akiwa kwake.

FC Augsburg atamuailka Borussia Monchengladbach katika dimba la WWK Arena na ndani ya Meridianbet nafasi kubwa ya ushindi amepewa mgeni akiwa na 2.45 na mwenyeji akiwa na 2.69. Suka jamvi lako na Meridinabet.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET MSIMU MPYA, MZIGO WA KUTOSHA


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...