Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka  ametembelea banda la Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) Katika Maonesho ya Kimataifa ya Wakulima (Nanenae) yanayoendelea katika uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya. Mhe. Mtaka ameitaka BRELA kuongeza jitihada katika kuhamasisha wadau kurasimisha biashara zao ili kukuza uchumi wa nchi. 


Mhe. Mtaka akipata maelezo kuhusu wageni wanaotembelea banda la BRELA kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nane Nane yanayoendelea viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.


RC Mtaka akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa BRELA  wakati alipotembelea  banda la BRELA kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nane Nane yanayoendelea viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...