HATIMAYE ile promosheni kubwa Zaidi ya Vuna zaidi na Meridianbet iliyozinduliwa Agosti 2 mwaka 2023 imeanza kutoa washindi, wiki hii simu zimetoka sana pale Meridianbet.

Kwa ushirikiano na kampuni ya mawasiliano ya simu hapa nchini Airtel inayotoa huduma ya miamala ya simu maarufu kama Airtel Money, Meridianbet inatoa zawadi ya simu janja na Bodaboda kwa wateja watakaoongeza salio kwenye akaunti zao kupitia Airtel Money.

Zaidi ya washindi 5 wamefanikiwa kujipatia smartphone mpya aina ya Samsung A32, kwa kuongeza salio tu kwenye akaunti zao ili wabashiri soka kwa odds kubwa, au kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni.

Mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao, moja ya washindi kutoka Tegeta Jijini Dar Es Salaam alifunguka kuhusu Meridianbet.

“Niliongeza salio kwenyeakaunti yangu ya Meridianbet nikiwa na wazo la kubeti kwa sababu ligi zimeanza, mara baada ya hapo Nilipokea ujumbe wa maandishi kuwa nimejishindia simu, nilifurahi sana na niliamini kweli Meridianbet hawana janja janja”-Mshindi kutoka Tegeta

Kwa upande wa mshindi wa pili yeye alibainisha kwamba ni kawaida uake kubeti Meridianbet kwakuwa wanatoa odds kubwa na machaguo mengi, ,moja kati ya chaguo lake bora Zaidi ni Turbo/Cash out kwa sababu humpata nafasi ya kuokoa dau lake pindi anapoona mkeka wake unakaribia kuchanika.

Ukiachana na zawadi hizi za simu janja kuna zawadi kubwa itatoka Agosti 25, 2023 zawadi ya Bodaboda mpyaa!! Nafasi ni yako kuibuka mshindi wa chombo hii. Ongeza salio kwenye akaunti yako ya Meridianbet mara kwa mara kupitia Airtel Money kujiweka kwenye nafasi kubwa ya kushinda Pikipiki.

BETI
NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...