Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwasha gari baada ya kukabidhi magari 30 na vifaa vya ofisi za mikoa za Idara ya Kazi na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), kwenye hafla iliyofanyika katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mtumba Dodoma, Agosti 07, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipokabidhi magari 30 na vifaa vya ofisi za mikoa za Idara ya Kazi na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), kwenye hafla iliyofanyika katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mtumba Dodoma, Agosti 07, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi magari 30 na
vifaa vya ofisi za mikoa za Idara ya Kazi na Wakala wa Usalama na Afya
Mahali pa Kazi (OSHA) katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira
na Wenye Ulemavu, Mtumba Dodoma, Agosti 07, 2023. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...