Askofu Bagonza na Askofu Mwamamakula wakifatilia mjadala katika Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama Vya Siasa na Wadau wa Demokrasia kutathimini utekelezaji wa mapendekezo ya Kikosi Kazii na Hali ya Siasa Nchini unaofanyika jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda wakijadiliana na Waziri wa Zamani na Mwanasiasa Mkongwe Steven Wasira kwenye Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama Vya Siasa na Wadau wa Demokrasia kutathimini utekelezaji wa mapendekezo ya Kikosi Kazii na Hali ya Siasa Nchini unaofanyika jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya matukio katika  Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama Vya Siasa na Wadau wa Demokrasia kutathimini utekelezaji wa mapendekezo ya Kikosi Kazii na Hali ya Siasa Nchini unaofanyika jijini Dar es Salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...