• BAADA YA UZINDUZI WA KITUO HIKI, SASA MFUMO WA M-MAMA UNAORAHISISHA UPATIKANAJI WA USAFIRI WA DHARURA KUOKOA VIFO VYA AKINA MAMA NA WATOTO WACHANGA UNAPATIKANA KATIKA MIKOA YOTE YA TANZANIA BARA NA VISIWANI ZANZIBAR. 

    Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mh. Saadi Mtambule (kulia) akikata utepe kuzindua rasmi kituo cha mfumo wa m-mama Dar es Salaam pamoja na Meneja wa Miradi wa Vodacom Tanzania Foundation (wa pili kulia), Mtaalamu wa Afya ya Umma wa USAID - mama na watoto wachanga, Bi. Miriam Kombe (wa pili kushoto) na Ofisa wa Afya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Rashid Mfaume. Baada ya uzinduzi wa kituo hiki, mfumo wa m-mama ambao unarahisisha upatikanaji wa usafiri wa dharura kwa sasa unapatikana katika mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani Zanzibar.      

     Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mh. Saadi Mtambule (wa kwanza kushoto) akiwa pamoja na Meneja wa Miradi wa Vodacom Tanzania Foundation (wa pili kushoto) na Ofisa wa Afya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Rashid Mfaume (wa tatu kushoto) wakimsikiliza Mtoa Huduma, baada ya uzinduzi rasmi wa kituo cha mfumo wa m-mama Dar es Salaam. Baada ya uzinduzi wa kituo hiki, mfumo wa m-mama ambao unarahisisha upatikanaji wa usafiri wa dharura kwa sasa unapatikana katika mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani Zanzibar.
    Mtoa huduma katika kituo cha mfumo wa m-mama kilichozinduliwa jijini Dar es Salaam, akielezea namna mfumo wa m-mama unavyofanya kazi baada ya kuzinduliwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mh. Saadi Mtambule. Utekelezaji wa huduma ya m-mama unafanywa kwa ushirikiano na Vodacom Tanzania Foundation, USAID, Touch Foundation, na Pathfinder katika kuiunga mkono serikali kurahisisha upatikanaji wa usafiri wa dharura kwa wajawazito ili kuokoa vifo vya akina mama na watoto wachanga, kwa sasa huduma hii inapatikana katika mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani Zanzibar.
    Mtoa huduma katika kituo cha mfumo wa m-mama kilichozinduliwa jijini Dar es Salaam, akielezea namna mfumo wa m-mama unavyofanya kazi baada ya kuzinduliwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mh. Saadi Mtambule. Utekelezaji wa huduma ya m-mama unafanywa kwa ushirikiano na Vodacom Tanzania Foundation, USAID, Touch Foundation, na Pathfinder katika kuiunga mkono serikali kurahisisha upatikanaji wa usafiri wa dharura kwa wajawazito ili kuokoa vifo vya akina mama na watoto wachanga, kwa sasa huduma hii inapatikana katika mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani Zanzibar.
    Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mh. Saadi Mtambule (kulia) akikata utepe kuzindua rasmi kituo cha mfumo wa m-mama Dar es Salaam pamoja na Meneja wa Miradi wa Vodacom Tanzania Foundation (wa pili kulia), Mtaalamu wa Afya ya Umma wa USAID - mama na watoto wachanga, Bi. Miriam Kombe (wa pili kushoto) na Ofisa wa Afya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Rashid Mfaume. Baada ya uzinduzi wa kituo hiki, mfumo wa m-mama ambao unarahisisha upatikanaji wa usafiri wa dharura kwa sasa unapatikana katika mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani Zanzibar. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...