Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akizungumza na Mzee Said Alawiy Jimbo la Kwahani Mkoa wa Mjini Magahribio leo, alipofika kumjulia hali katika utaratibu wake kama huo kwa Wananchi mbali mbali.[Picha na Ikulu] 01/09/2023 .Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Wazee alipofika Kwahani Mkoa wa Mjini Magharibi leo kuwajuilia hali wazee mbali mbali ikiwa ni utaratibu wake kwa Wananchi wote.[Picha na Ikulu] 01/09/2023 .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...