RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa neno la shukrani katika Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika kwa mwaka 2023, wakati wa ufungaji wa mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano ya Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam 7-9-2023,uliyofungwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan.(Picha na Ikulu)
Home
HABARI
RAIS DKT. MWINYI AZUNGUMZA NA KUTOA SHUKRANI KATIKA UFUNGAJI WA MKUTANO WA JUKWAA LA MIFUMO YA CHAKULA BARANI AFRIKA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...