Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olesugun Obasanjo ambaye pia ni Balozi wa Taasisi ya Kimataifa ya Kilimo (International Institute of Tropical Agriculture), Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 4, Septemba 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olesugun Obasanjo ambaye pia ni Balozi wa Taasisi ya Kimataifa ya Kilimo (International Institute of Tropical Agriculture), Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 4, Septemba 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olesugun Obasanjo ambaye pia ni Balozi wa Taasisi ya Kimataifa ya Kilimo (International Institute of Tropical Agriculture) pamoja na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe (kulia), Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 4, Septemba 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olesugun Obasanjo ambaye pia ni Balozi wa Taasisi ya Kimataifa ya Kilimo (International Institute of Tropical Agriculture), Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 4, Septemba 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olesugun Obasanjo pamoja na ujumbe wa Taasisi ya Kimataifa ya Kilimo (International Institute of Tropical Agriculture), Ikulu jijini Dar Es Salaam, tarehe 4, Septemba 2023.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...