USIKU wa Deni haukawii na UEFA INAKUPA MTONYO WA MAANA NDANI YA MERIDIANBET

USIKU WA DENI haukawii na huu ni msemo wa kiswahili ambao una maana kubw sana kwa mwerevu na huu si usiku mwingine bali ni ule ambao umekuwa ukisubiiriwa kwa hali na mali yaani Usiku wa Ulaya au Usiku wa Ligi ya Mabingwa barani Ulaya.

Timu takribani 32 leo na kesho kutoka ligi mbalimbali zitaingia dimbani kusaka pointi tatu kwa kila timu huku michuano hii ikiwa mojawapo ya michuano pendwa kabisa. Na pale Meridianbet wanakwambia hivi maokoto yapo ya kutosha ni wewe tuu kuweka dau lako upige mkwanja wa maana.

AC Milan VS Newacstle United

AC Milan itakuwa San Siro kucheza dhidi ya Newcastle United ya Eddie Howe ambao hawajashiriki michuano hii takribani miaka 20 sasa. Milan inashikilia nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi na mechi ya mwisho amepoteza kwa mabao 5-1 dhidi ya Inter ambayo ilikuwa ni Milan Derby.

Milan kwenye ligi ya mabingwa wanamakombe 07 ikiwa ndiyo timu yenye makombe mengi pale Italia. Mara ya kwanza kuchukua kombe hilo ilikuwa mwaka 1963 na mara ya mwisho kuchukua ilikuwa 2007 chini ya kocha mkuu Carlo Ancellotti.

Ndugu mteja kama bado hujajisajili na Meridianbet, muda ndio huu sasa wa kuingia www.meridianbet.co.tz na uweze kupiga maokoto ya kutosha na mechi hizi za Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Msimu uliopita Milan ameishia hatua ya Nusu fainali baada ya kufungwa na Inter nje ndani.

Leo hii yuko nyumbani kusaka pointi 3 za kwanza na timu kutoka Uingereza Newacastle united. Nafasi kubwa ya kushinda mechi hii pale Meridianbet amepewa Pioli na vijana awake wakiwa na ODDS ya 2.60 kwa 2.74 huku sare ikipewa 3.33. Wewe beti yako unamkabidhi nani akupatie pesa?.

Psg VS Borussia Dortmund

Mechi nyingine ya kusisimua na ya kukata na shoka ni hii hapa ambayo inakutanisha timu mbili kutoka mataifa mbalimbali yani nazungumzia kule Ufaransa na kule Ujerumani.

Miamba wa LIGUE 1 PSG ya Luis Enrique watakuwa kibaruani kaunza safari yao ya kusaka Ubingwa wa UCL dhidi ya vijana wa Terzic katika dimba la Parc des Princes majira ya saa 4:00 usiku.

PSG haijawahi kuchukua kombe hili na imekuwa ikileta makocha kibao sana na kufukuza makocha hao kutokana na kushindwa kupata taji hilo kubwa barani Ulaya.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Vijana wa Enrique wamefika fainali ya Uefa mara 1 pekee msimu wa 2019/2020 ambapo walicheza dhidi ya FC Bayern Munich na wakapoteza kwa bao 1-0 kwenye fainali iliyochezwa huko Lisbon Ureno.

Wakati kwa upande wa Dortmund yeye ana kombe moja pekee la UEFA ambalo alichukua mwaka 1997 ni miaka 26 sasa imepita.

Dortmund msimu uliopita kwenye Ligi ya mabingwa ameishia hatua ya 16 bora ambayo alitolewa kwa aggregate ya mabao 4-2 dhidi ya Chelsea. Kubashiri na mabingwa meridianbet mechi hii ina ODDS za kuvutia na machaguo zaidi ya 1000.

Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

PSG ndiye anayeonekana kuwa kipenzi cha kuondoka na alama zote 3 ana ODDS ya 1,76. kwa 3.87 huku sare ikiwa na ODDS YA 4.21.

NB: Huku ukiwa unendelea kubashiri mechi zako za ligi ya mabingwa kumbuka kuwa, bado Jakpoti inaendelea ndani ya Meridianbet ambapo kwa dau la shilingi 1000/= unaweza kubashiri mechi zako 13 na ukajipigia mkwanja wa shilingi 85,000,000. Ingia Meridianbet na ucheze sasa.

Meridianbet wanavyokuambia kuwa Msimu mpya mzigo wa kutosha wanamaanisha kuwa pesa yoyote utakayoihitaji utapata, huku timu ya Pep Guardiola ikizidi kuwafurahisha wale wanaoiamini kwa kuibetia na leo hii,

Manchester City VS Crvena Zvezda Belgarade

Mabingwa watetezi wa kombe hili Manchester City ambao wana kombe 1 pekee atakuwa pale Etihad kucheza dhidi ya Crvena Zvezda Belgarade ya Serbia.

Mechi hii inaonekana iko upande mmoja sana kutokana na kiwango kikubwa ambacho City anacho mpaka sasa kwenye ligi akiwa hajapoteza mechi yoyote pale EPL, huku Belgarade akipoteza mechi zake 2.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Lazio VS Atletico Madrid

Mechi nyingine ya kukata na shoka itakuwa pale Stadio Olimpico, Rome ambapo Lazio atakuwa mwenyeji wa Atletico Madrid yani hapa zinakutana timu mbili tofauti Italia na Hispania ndani ya UCL.

Timu hizi mbili kwenye mikutano yao mitatau ya mwisho Atletico amekuwa mbabe sana akishinda michezo yote mitatu huku Lazio akiambulia patupu.

2.55 hiyo ndio ODDS ya kuondoka na ushindi ugenini wakati mwenyeji kuondoka na pointi tatu ana ODDS ya 2.79. Suka jamvi sasa.huu ni msemo wa kiswahili ambao una maana kubw sana kwa mwerevu na huu si usiku mwingine bali ni ule ambao umekuwa ukisubiiriwa kwa hali na mali yaani Usiku wa Ulaya au Usiku wa Ligi ya Mabingwa barani Ulaya.Timu takribani 32 leo na kesho kutoka ligi mbalimbali zitaingia dimbani kusaka pointi tatu kwa kila timu huku michuano hii ikiwa mojawapo ya michuano pendwa kabisa. Na pale Meridianbet wanakwambia hivi maokoto yapo ya kutosha ni wewe tuu kuweka dau lako upige mkwanja wa maana.

AC Milan VS Newacstle United

AC Milan itakuwa San Siro kucheza dhidi ya Newcastle United ya Eddie Howe ambao hawajashiriki michuano hii takribani miaka 20 sasa. Milan inashikilia nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi na mechi ya mwisho amepoteza kwa mabao 5-1 dhidi ya Inter ambayo ilikuwa ni Milan Derby.

Milan kwenye ligi ya mabingwa wanamakombe 07 ikiwa ndiyo timu yenye makombe mengi pale Italia. Mara ya kwanza kuchukua kombe hilo ilikuwa mwaka 1963 na mara ya mwisho kuchukua ilikuwa 2007 chini ya kocha mkuu Carlo Ancellotti.

Ndugu mteja kama bado hujajisajili na Meridianbet, muda ndio huu sasa wa kuingia www.meridianbet.co.tz na uweze kupiga maokoto ya kutosha na mechi hizi za Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Msimu uliopita Milan ameishia hatua ya Nusu fainali baada ya kufungwa na Inter nje ndani.

Leo hii yuko nyumbani kusaka pointi 3 za kwanza na timu kutoka Uingereza Newacastle united. Nafasi kubwa ya kushinda mechi hii pale Meridianbet amepewa Pioli na vijana awake wakiwa na ODDS ya 2.60 kwa 2.74 huku sare ikipewa 3.33. Wewe beti yako unamkabidhi nani akupatie pesa?.

Psg VS Borussia Dortmund

Mechi nyingine ya kusisimua na ya kukata na shoka ni hii hapa ambayo inakutanisha timu mbili kutoka mataifa mbalimbali yani nazungumzia kule Ufaransa na kule Ujerumani.

Miamba wa LIGUE 1 PSG ya Luis Enrique watakuwa kibaruani kaunza safari yao ya kusaka Ubingwa wa UCL dhidi ya vijana wa Terzic katika dimba la Parc des Princes majira ya saa 4:00 usiku.

PSG haijawahi kuchukua kombe hili na imekuwa ikileta makocha kibao sana na kufukuza makocha hao kutokana na kushindwa kupata taji hilo kubwa barani Ulaya.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Vijana wa Enrique wamefika fainali ya Uefa mara 1 pekee msimu wa 2019/2020 ambapo walicheza dhidi ya FC Bayern Munich na wakapoteza kwa bao 1-0 kwenye fainali iliyochezwa huko Lisbon Ureno.

Wakati kwa upande wa Dortmund yeye ana kombe moja pekee la UEFA ambalo alichukua mwaka 1997 ni miaka 26 sasa imepita.

Dortmund msimu uliopita kwenye Ligi ya mabingwa ameishia hatua ya 16 bora ambayo alitolewa kwa aggregate ya mabao 4-2 dhidi ya Chelsea. Kubashiri na mabingwa meridianbet mechi hii ina ODDS za kuvutia na machaguo zaidi ya 1000.

Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

PSG ndiye anayeonekana kuwa kipenzi cha kuondoka na alama zote 3 ana ODDS ya 1,76. kwa 3.87 huku sare ikiwa na ODDS YA 4.21.

NB: Huku ukiwa unendelea kubashiri mechi zako za ligi ya mabingwa kumbuka kuwa, bado Jakpoti inaendelea ndani ya Meridianbet ambapo kwa dau la shilingi 1000/= unaweza kubashiri mechi zako 13 na ukajipigia mkwanja wa shilingi 85,000,000. Ingia Meridianbet na ucheze sasa.

Meridianbet wanavyokuambia kuwa Msimu mpya mzigo wa kutosha wanamaanisha kuwa pesa yoyote utakayoihitaji utapata, huku timu ya Pep Guardiola ikizidi kuwafurahisha wale wanaoiamini kwa kuibetia na leo hii,

Manchester City VS Crvena Zvezda Belgarade

Mabingwa watetezi wa kombe hili Manchester City ambao wana kombe 1 pekee atakuwa pale Etihad kucheza dhidi ya Crvena Zvezda Belgarade ya Serbia.

Mechi hii inaonekana iko upande mmoja sana kutokana na kiwango kikubwa ambacho City anacho mpaka sasa kwenye ligi akiwa hajapoteza mechi yoyote pale EPL, huku Belgarade akipoteza mechi zake 2.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Lazio VS Atletico Madrid

Mechi nyingine ya kukata na shoka itakuwa pale Stadio Olimpico, Rome ambapo Lazio atakuwa mwenyeji wa Atletico Madrid yani hapa zinakutana timu mbili tofauti Italia na Hispania ndani ya UCL.

Timu hizi mbili kwenye mikutano yao mitatau ya mwisho Atletico amekuwa mbabe sana akishinda michezo yote mitatu huku Lazio akiambulia patupu.

2.55 hiyo ndio ODDS ya kuondoka na ushindi ugenini wakati mwenyeji kuondoka na pointi tatu ana ODDS ya 2.79. Suka jamvi sasa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...