HAKIKA ni kweli kabisa ujasiriamali ni utafutaji usiokuwa na mwisho, na msaka riziki hachoki ni usemi wa Kiswahili wenye maana sana, unaweza kusema mwezi huu wa Oktoba ndio mwezi unaopaswa kuwekeza ziaidi pale Meridianbet na kuzikaka pesa kwenye Jackpot yao kubwa.

Kwa taarifa zilivyo mpaka sasa mzigo wa Jackpot kubwa kabisa hapa nchini umeongezwa kutoka Tsh milioni 85 mpaka milioni 200TZS, lakini kingine cha Zaidi dau la kubashiri ni lile lile tsh 1,000/= yako tu na timu zako 13 za uhakika zinaweka kukufanya kuwa tajiri mpya hapa mjini.

Meridianbet imeamua kuongeza nafasi Zaidi kwa washindi, ambapo njia za kushiriki kwenye Jackpot hii kubwa ya Tsh 200m ni kwa wateja wanaobashiri kwa kitochi kwa kupiga *149*10# na wale wanaobashiri kupitia mtandaoni (online) kila wiki inapoisha mfumo utakuwa na timu mpya 13 za kubashiri na nyingine za akiba endapo ikitokea dharula kwenye mechi husika.

Ili kushinda kwenye Jackpot hii ya Tsh 200m unapaswa kupatia timu zote 13, ikitokea umepatia timu 12 na moja ikachana tiketi yako, Meridianbet haijakuacha itakupa pole kwa Tsh 5,000,000/= lakini hiyo haitoshi hata ukipatia mechi 11 kati ya 13, bado hukosi kitu utapokea Tsh Milion Moja 1,000,000/=

NB: Endapo mechi yeyote kati ya 13 itaghairishwa, mechi ya kwanza kwenye mpangilio wa mechi za akiba itachukua nafasi ya mechi iliyoghairishwa. Ikiwa mechi 6 au zaidi zitaghairishwa hakutakuwa na mshindi wa Jackpot kwa wiki hiyo, Jackpot itahamia wiki inayofuata.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...