
Baada ya ligi mbalimbali
duniani kusimama kupisha kalenda ya FIFA, hatimaye wikendi hii leigi zinarejea
kwa kishindo kikubwa huku, Meridianbet wakikuhakikishia kuwa ushindi ni wako
ukibashiri nao kwani huku kuna ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na Turbo Cash
ipo.
Tukianza na ile ligi pendwa Ulaya yani EPL itaendelea kuanzia hapo kesho ambapo mechi ya mapema itakuwa ni
kati ya Liverpool dhidi ya Everton ikiwa ni Merseyside derby huku
nafasi kubwa ya ushindi amepewa Klopp akiwa na ODDS ya 1.32 kwa 7.44. Mara ya
mwisho kukutana Jogoo alishinda. Je nani kuibuka mshindi kesho?
Mechi nyingine itakuwa ni kati ya vijana wa Pep Guardiola Manchester City ambaye atakuwa Etihad kumkaribisha Brighton ya De Zerbi. City amepoteza
mechi mbili mfululizo za ligi. Je na kesho atakubali kupoteza mechi ya tatu?
Suka jamvi lako hapa.
Katika dimba la ST James’ Park Newcastle United baada ya kulazimishwa sare ugenini atamualika Crystal Palace ambaye naye pia alitoa
sare mchezo wake uliopita. Mechi ya mwisho kukutana hakuna aliyekuwa mbabe.
Howe amepewa ODDS ya 1.46 kushinda mechi hii kwa 6.86. Bashiri sasa.
Majira ya 1:30 usiku itapigwa LONDON DERBY kati ya Chelsea dhidi ya Arsenal ambapo nafasi kubwa ya kushinda mechi hii pale Meridianbet
amepewa The Gunners akiwa na ODDS ya 2.54 kwa 2.99. The Blues wapo nafasi ya 11
huku Arteta akiwa nafasi ya 2. Beti mechi hii pia.
Vilevile JACKPOT baab kubwa ya Meridianbet inaendelea kama kawaida ambapo
Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kutolewa ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13 kwa
dau la shilingi 1000. Kwa wale wa kitochi na USSD menyu ni ile ile *149*10#.
Ingia www.meridianbet.co.tz ubashiri sasa.
LALIGA nayo ni ya moto sana wikendi
hii huku mechi za kukupatia mkwanja zikiwa ni kama zote tukianza na leo ambapo
mwenyeji CA Osasuna ambaye yupo
nafasi ya 12 atamualika Granada anayeshikilia nafasi ya 19. Mwenyeji
kushinda ana ODDS ya 1.72 kwa 4.60. Bashiri mechi hii.
Utamu mwingine wa soka la Hispania utakuwa pale Sanchez
Pazjuan ambapo kinara wa ligi Real
Madrid atakuwa mgeni wa Sevilla.
Real ana ODDS ya 1.86 kushinda mchezo huu kwa 3.92. Wakati mwenyeji wake akiwa
nafasi ya 14, je Ancellotti na vijana wake watafanya nini?
Vijana wa Diego Simeone Atletico Madrid watakuwa
ugenini dhidi ya RC Celta Vigo
ambaye yupo nafasi ya 18 kwenye msimamo wa ligi. Mara ya mwisho kukutana msimu
uliopita Atletico alichukua pointi sita zote. Je mwenyeji atalipa kisasi? Mechi
hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet.
Kipute kingine kitakuwa kule SERIE A ambapo vijana wa Rudi Garcia ambao ndio mabingwa watetezi, Napoli watakuwa wageni wa Hellas Verona amepewa ODDS ya 5.29 kwa 1.64. Mara ya mwisho
kukutana walitoka suluhu. Tofauti ya pointi kati yao ni 6. Suka jamvi lako na
uweke mechi hii.
Majira ya saa 1:00 Torino
atazichapa dhidi ya Inter
Milan ya Simone Inzaghi anayeshikilia nafasi ya pili. Mwenyeji yupo nafasi ya
14 akivuna pointi 9 pekee kwenye mechi nane alizocheza. Walipokutana mara ya
mwisho Milan alishinda zote.
Union Berlin mwenye ODDS ya 2.50
atakipiga dhidi ya VFB Stuttgart
ambaye amepewa ODDS ya 2.69. Mara ya mwihso kukutana Berlin alishinda huku
tofauti ya pointi kati yao ni 12. Suka mkeka wako haraka na ubeti
Baada ya RB Leipzig
kulazImishwa sare mchezo uliopita, atakuwa ugenini kusaka pointi 3 dhidi ya SV
Darmstadt 98 mwenye ODDS 6.07. Je RB atafanya nini safari hii huku
akipewa nafasi kubwa ya kushinda pale Meridianbet kwa ODDS ya 1.44.
Nao mabingwa watetezi Bayern
Munich ya Thomas Tuchel watakuwa wageni wa FSV Mainz. Mechi iliyopita mwenyeji aliondoka na pointi 3 huku
Mabingwa hao wa Ujerumani wakitaka kulipa kisasi kwa ODDS ya 1.25. Je mwenyeji
atazuia?
Kule Ufaransa LIGUE 1
itarindima kwa michezo kibao wakianza leo majira ya saa 4:00 usiku ambapo Le Havre atamualika RC Lens ambaye ana mwenendo mbaya msimu
huu akiwa nafasi ya 14 hadi sasa. ODDS KUBWA zipo hapa ingia na ubashiri.
Mabingwa watetezi PSG
ya Luis Enrique waoa watakuwa Parc Des
Princes kusaka pointi tatu waongoze ligi dhidi ya Strasbourg Alsace mwenye ODDS ya 10.78. Je mgeni anaweza Paris
mwenye Mbappe, Hakimi, Ndembele na wengine?
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...